1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali yaripotiwa kuendelea kuwa mbaya Mashariki mwa Kongo

20 Februari 2024

Hali mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, hasa mkoa wa Kivu Kaskazini, inatajwa kuzidi kuwa ya mashaka, wakati huu kundi la waasi la M23 likiwania kutwaa udhibiti wa baadhi ya miji ya eneo hilo. Kanali Njike Kaiko msemaji wa jeshi la Kongo kwa kivu ya kaskazini, anaelezea zaidi hapa. Sudi Mnette amesema nae.

https://p.dw.com/p/4cd11