1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ya hewa imechafuka katika chama cha CCM Tanzania

19 Julai 2019

Mhemko wa kisiasa washuhudiwa katika chama tawala cha CCM nchini Tanzania baada ya makatibu wakuu wawili wa awamu iliyopita kuandika waraka mrefu wakituhumu kuchafuliwa majina na mtu wanayedai anasukumwa na nguvu kutoka juu .Jiunge na Saumu Mwasimba kusikiliza Afrika wiki hii kwa hayo na mengine mengi

https://p.dw.com/p/3MLQI