1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali kisiwani Zanzibar baada ya kutangazwa kwa rais mteule

30 Oktoba 2020

Shamra shamra kiasi zatanda Visiwani Zanzibar baada ya Dr. Hussein mwinyi kutangazwa rais mteule wa nane wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar. Ulinzi mkali uliendelea kuimarishwa, hali iliyochangia shamrashamra hizo kutiwa doa. Lilian Mtono amezungumza na mwandishi Ally Mohamed kutoka Zanzibar kuhusiana na hali ilivyo.

https://p.dw.com/p/3ke6H