1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ikoje huko Bosnia na Herzegovina

21 Agosti 2019

Makala ya Mwangaza wa Ulaya wiki hii inaangazia jinsi hali ilivyo Bosnia na Herzegovina baada ya uamuzi wa Mahakama ya Juu ya Uholanzi hivi majuzi kwamba taifa hilo la kifalme linahusika kwa kiasi fulani tu katika vifo vya zaidi ya wanaume 350 wa Kiislamu waliouwawa na vikosi vya Bosnia na Serbia mwaka 1995 katika mauaji ya halaiki ya Srebrenica.

https://p.dw.com/p/3OHb9