TeknolojiaAfrikaGengeXpress: App inayorahisisha manunuzi TanzaniaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoTeknolojiaAfrikaSylvia Mwehozi22.06.202122 Juni 2021Katika makala ya Sema Uvume, Sylvia Mwehozi anaiangazia programu ya simu (App) iliyoanzishwa nchini Tanzania kwa ajili ya kurahisisha manunuzi ya bidhaa mbalimbali kutoka sokoni. Je, programu hii inafanyaje kazi? Fuatana na Sylvia kujua mengi.https://p.dw.com/p/3vJpKMatangazo