Wakfu unaoshughulikia mahusiano ya Ujerumani na bara la Afrika umeendesha mjadala kwa njia ya mtandao ulioangazia chagamoto zinazoukabili utawala mpya wa rais Samia Suluhu Hassan nchini Tanzania. Washiriki katika mjadala huo kutoka nje na ndani ya Tanzania wamesema wanatiwa moyo na mabadiliko yanayoendelea kufanywa nchini humo. Zaidi juu ya hilo Rashid Chilumba amemzungumza na wakili Fatma Karume