1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Fatuma Juma, binti aliyekataa kuozeshwa

5 Agosti 2022

Fatuma Juma ni binti mwenye umri wa miaka 17 kutoka Mtwara ambaye alikataa kuozeshwa baada ya mjomba wake kutaka kufanya hivyo. Fatuma sasa ana ndoto za kuwa mpigania haki za wasichana na wanawake. Mwandishi wetu kutoka Mtwara, Salma Mkalibala amezungumza na binti huyo na mengi zaidi ni katika makala ya Msichana Jasiri.

https://p.dw.com/p/4FBoS