1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Fahamu Kilio cha jamii ya wafungaji wilayani Ngorongoro

10 Machi 2020

Veronica Natalis anakiangalia kilio cha jamii ya wafungaji wanaolalamika kufa kwa mifugo wao kutokana na njaa wakati wa kipindi cha msimu wa kiangazi: Japo jitihada zimekuwa zikifanyika lakini serikali inakiri kwamba ni vigumu kupambana na athari za mabadiliko ya tabia nchi. Sikiliza kipindi hiki cha Mtu na Mazingira

https://p.dw.com/p/3ZAO4