TeknolojiaEmoji sasa ni lugha ya mawasiliano To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoTeknolojiaSylvia Mwehozi26.09.201726 Septemba 2017Tumekuwa watumiaji wakubwa wa Emoji wakati tunapowasiliana na marafiki zetu kupitia simu zetu aina ya smartphones. Katika Makala hii ya Sema Uvume tunazungumzia chimbuko la Emoji na matumizi yake hasa. Sikiliza makala hii kwa kina. https://p.dw.com/p/2khpVMatangazo