1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

EeZzy: Msanii wa Uganda anayetumia muziki kupambana na COVID-19

17 Agosti 2021

Makala ya Vijana Mubashara inamuangazia mwanamuziki wa Uganda EeZzy ambaye alipata umaarufu mkubwa baada ya serikali kupiga marufuku nyimbo zake kuhusu mateso na msongo wa mawazo kutokana na COVID-19.

https://p.dw.com/p/3z5UO