1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waasi wa M23 wayakataa makubaliano ya Luanda

25 Novemba 2022

Miongoni mwa yaliyomo katika Afrika Wiki hii ni makubaliano ya kusitisha vita mashariki mwa DRC yaliyofikiwa nchini Angola kati Kongo na Rwanda lakini waasi wa M23 ambao hawakushirikishwa Luanda wayakataa makubaliano hayo.Na nchini Tanzania gumzo laibuka kuhusu rais Samia kuonesha kutokubali kukosolewa.Guinea ya Ikweta rais Obiang arudi madarakani licha ya ukongwe wake.Ungana na Saumu Mwasimba

https://p.dw.com/p/4K4sd