1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC: Idadi ya watu waliouawa na waasi wa ADF yaongezeka

John Kanyunyu10 Machi 2023

Kundi la kigaidi kutoka Uganda ADF/MTM liliwauwa watu si chini ya arubaini na sita jana katika vijiji vya Mukondi pamoja na Mausa Buliki,katika wilaya ya Beni mkoani Kivu ya Kaskazini. Jeshi liko kwenye operesheni za kuwaandama waasi hao, likitumai kuwaokoa mateka.

https://p.dw.com/p/4OV9P