1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dereva wa Lissu azungumza na DW

8 Februari 2019

Jaribio la mauaji dhidi ya mbunge wa upinzani, Tundu Lissu, lililofanyika Septemba 2017 bado ni mjadala mkubwa Tanzania. Lissu amekuwa akionekana mara kwa mara akizungumza na vyombo vya habari vya kimataifa, na sasa DW imekutana na dereva wake Adam Mohamed Bakari akiwa mjini Brussels, Ubelgiji, kujua anachokumbuka kuhusu mashambulizi yenyewe.

https://p.dw.com/p/3CzKq