1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dalili za mwanzo za kupatwa mshituko wa moyo ni hizi

13 Januari 2023

Asilimia 70 hadi 90 ya watu wanaopatwa na mshituko wa moyo wanakufa kabla ya kufikishwa hospitalini, kutokana na tukio lenyewe kuwa hatari na hata watu wa karibu kutojuwa namna ya kuwasaidia. Dalili za mwanzo ni kutopumua vizuri, mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida pamoja na kuumwa na kifua. Amina Abubakar ametuandalia makala ya afya yako

https://p.dw.com/p/4M7aI
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Afya Yako Afrika

Jielimishe Kuhusu Afya Yako