1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chemsha bongo: Je Ghana inaweza kuwa mwanachama wa EU?

31 Mei 2019

Je unafikiri Ghana inaweza kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya? Uturuki imeshaomba kuwa mwanachama wa umoja huo. Hapo awali Morocco pia iliwahi kuomba kuwa mwanachama. Je ni vigezo vipi vinatumika ili nchi kuruhusiwa uanachama wa Umoja wa Ulaya? Kumbuka hii ni chemsha bongo wala Ghana haijaomba nafasi ya kujiunga. Tazama vidio

https://p.dw.com/p/3JZ5B