JamiiAfrikaChangamoto za reli ya SGR kwa uchumi wa MombasaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiAfrikaFaiz Musa29.07.202029 Julai 2020Katika Makala Yetu iliyoandaliwa na Faiz Musa, tunaangalia ujenzi wa reli mpya nchini Kenya, SGR na changamoto zinazoukabili uchumi wa mji wa bandari wa Mombasa na eneo la pwani kutokana na reli hiyo ya kisasa.https://p.dw.com/p/3g72vMatangazo