1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chama cha Kijani, sera zake kuelekea uchaguzi mkuu Ujerumani

Harrison Mwilima22 Aprili 2021

Makala ya Sura ya Ujerumani safari hii imejikitita katika kuangazia sera ya chama cha KIjani (watetezi wa mazingira) nchini Ujerumani pamoja na mgombea wao wa nafasi ya ukansela Annalena Baerbock mwenye umri wa miaka 40 kuelekea uchaguzi mkuu wa Ujerumani Septemba mwaka huu.

https://p.dw.com/p/3sR0d