1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mvutano wa chaguzi za serikali za mitaa Tanzania

Sudi Mnette19 Novemba 2019

Kwenye makala ya Kinagaubaga, Sudi Mnette anamhoji naibu waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mwita Waitara, kuhusu sharti la kutaka wagombea waandike barua za kujitoa katika uchaguzi huo.

https://p.dw.com/p/3TIHD