1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chadema yazungumzia kuhamwa na viongozi 11 mkoani Mbeya

Sudi Mnette24 Februari 2020

Meya na madiwani 10 wa chama kukuu cha upinzani nchini Tanzania watangaza kuhamia chama tawala CCM. Zaidi msikilize msemaji wa Chadema Tumaini Makene akizungumza na DW kuhusu sakata hilo.

https://p.dw.com/p/3YLDW
Tansania Opposition Freeman Mbowe
Picha: DW/H. Bihoga