1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CHADEMA yafikiria upya makubaliano ya maadili ya uchaguzi

George Njogopa28 Mei 2020

Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA, kimesema licha ya kusaini makubaliano ya pamoja yajulikanayo kama maadili ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 bado hakikubaliana na baadhi ya vipengele vyake na kwa maana hiyo kinatafakari hatua za kuchukua kabla ya kuingia kwenye kinyang’anyiro cha uchaguzi wenyewe. George Njogopa alituarifu zaidi.

https://p.dw.com/p/3ct7q