1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Cecilia Mmanga mgombea urais Tanzania

15 Septemba 2020

Kutana na Cecilia Mmanga mmoja wa wagombea wanawake waliojitokeza katika kinyang'anyiro cha urais wa Tanzania utakaofanyika mwezi Oktoba.

https://p.dw.com/p/3iUAD

Hivi karibuni wananchi wa Tanzania wanatarajia kupiga kura kumchagua rais, wabunge na madiwani. Kati ya wagombea 15 wa urais wako wanawake wawili. Mmoja wao ni Cecilia Mmanga anayeshiriki katika kinyang'anyiro hicho kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia Makini. Kwa mengi zaidi msikilize katika kipindi cha Kinagaubaga akielezea kuhusu kile kilichomsukuma pamoja na sera za chama chake.