1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CCm yaanza kikao cha kamati kuu

9 Julai 2020

Chama kinachotawala nchini Tanzania CCM leo kinaanza vikao vya ngazi ya juu kufanya maamuzi kuhusu majina ya wagombea watakaoipeperusha bendera yake katika uchaguzi mkuu ujao kuwania urais Tanzania na pia visiwani Zanzibar. Ili kujua jinsi vikao hivyo vinaendelea, nimezungumza na mwandishi wa habari Habel Chidawali. Kwanza anaelezea hali ikoje mjini Dodoma ambako wajumbe wa kamati kuu wanakutana.

https://p.dw.com/p/3f1kl