1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaBurkina Faso

Jeshi la Ufaransa lamaliza oparesheni zake Burkina Faso

20 Februari 2023

Burkina Faso imetangaza kwamba hatimaye oparesheni ya kijeshi ya Ufaransa imefikia mwisho katika nchi hiyo ya Ukanda wa Sahel na wanajeshi wa Ufaransa wameondoka. Burkina Faso imesema kuondoka kwa wanajeshi wa Ufaransa hakumaanishi kukatizwa kwa mahusiano na mkoloni wake huyo wa zamani. Sikiliza mahojiano kati ya Saumu Mwasimba na mchambuzi wa masuala ya kisiasa mjini Paris, Mohammed Saleh.

https://p.dw.com/p/4NkqQ