1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bunge lavunjwa Tanzania kuelekea uchaguzi 2020

Prosper Kwigize16 Juni 2020

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzana leo limevunjwa rasmi baada ya kudumu kwa miaka mitano na hivyo kupisha mchakato wa uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 2020 kuanza.

https://p.dw.com/p/3dqax