1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bunge la Ulaya laijadili Tanzania, upi mustakabali wake?

Yusra Abdallah Buwayhid20 Novemba 2020

Kamati ya mambo ya nchi za nje ya Umoja wa Ulaya ilijadili uchaguzi uliopita wa Tanzania na kutaja kuwa ulikiuka misingi ya kidemokrasia, na suala la kutokuwepo maambukizi ya virusi vya corona. Hakuna uamuzi wowote uliotolewa hadi sasa. Dotto Bulendu ni mwandishi habari na mchambuzi wamasuala ya kisiasa kutoka Tanzania, anatoa mtazamo wake juu ya mjadala huo.

https://p.dw.com/p/3lbCb