1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BJAM lapitisha sheria dhidi ya ukeketaji

Lubega Emmanuel 30 Januari 2017

Sheria dhidi ya ukeketaji ni mojawapo ya zile zilizopitishwa na Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (BJAM), lililoendesha vikao vyake kwa kipindi cha wiki mbili jijini Kampala, Uganda. Aidha miswaada kadhaa binafsi ikiwemo ule wa kuwalinda watu walio na ulemavu wa ngozi iliwasilishwa na kuidhinishwa kujadiliwa katika vikao vijavyo.

https://p.dw.com/p/2WcP2