1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bundesliga; Bayern yaendelea kutawala jedwali

6 Machi 2023

Kinyanganyiro bado ni kigumu katika Ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga. Bayern kileleni mwa jedwali kwa pointi 49, sawa na Borussia Dortmund tofauti ya mabao. Huku sare tasa dhidi ya FC Köln ikiituliza Union Berlin katika nafasi ya tatu kwa jumla ya poiti 44.

https://p.dw.com/p/4OJun