1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bundesliga: Bayern wataendeleza ubabe mbele ya Bremen?

Sylvia Mwehozi
20 Septemba 2024

Mechi za ligi kuu ya Kandanda Ujerumani Bundesliga zinaendelea tena leo katika viwanja tofauti. Bayern Munich wanaongoza kileleni mwa Bundesliga wakifuatiwa na Borussia Dortmund katika nafasi ya pili na RB Leipzig wanafuata katika nafasi ya tatu. Josephat Charo kutoka dawati la michezo anatupa ulipofika msimamo wa ligi ya Bundesliga na mechi za wikiendi hii.

https://p.dw.com/p/4kunT