1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Brazil: Uchaguzi wa Rais kuingia duru ya pili

3 Oktoba 2022

Raia wa Brazil wapatao milioni 156 wamepiga kura jana Jumapili katika uchaguzi wa rais ulio na ushindani mkubwa kati ya wagombea wawili ambao ni rais wa zamani na yule wa sasa wa nchi hiyo yenye uchumi mkubwa zaidi katika ukanda wa Amerika ya kusini.

https://p.dw.com/p/4Hgve