1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaEthiopia

Blinken akutana na viongozi wa Ethiopia

15 Machi 2023

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken, ameitaka Ethiopia kudumisha amani katika jimbo la kaskazini la Tigray lililoharibiwa kwa vita. Matamshi hayo ameyatoa leo alipokutana na viongozi wa Ethiopia, mjini Addis Ababa.

https://p.dw.com/p/4OjBW