1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Biashara ya Ubuyu Zanzibar

Khelef Mohammed Mohammed21 Desemba 2015

Hadi muongo mmoja uliopita, si wengi ambao wangeliamini kuwa ubuyu unaweza ukawa biashara kubwa yenye kujitegemea na inayotegemewa na wale wanaoifanya pamoja na aila zao. Visiwani Zanzibar, Deutsche Welle imekuta biashara hii ikikua kwa kasi ya ajabu na ikiendesha maisha ya mamia kwa mamia ya watu.

https://p.dw.com/p/1HQzV