1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bayern walambishwa mchanga na Augsburg

Josephat Charo
22 Novemba 2021

Bayern walambishwa mchanga na Augsburg huku Donyel Malen wa Borussia Dortmund akifunga bao lake la kwanza katika Bundesliga. Raia wa Nigeria Taiwo Awoniyi achaguliwa mchezaji bora wa mechi za mzunguko wa 12. Kocha mpya wa Manchester United Michael Carrick akabiliwa na mtihani wa kwanza dhidi ya Villareal katika ligi ya mabingwa, Champions.

https://p.dw.com/p/43L3t