1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bayern kifua mbele katika Bundesliga

Josephat Charo
1 Novemba 2021

Mabingwa watetezi Bayern Munich waipiku Union Berlin ugenini na kusalia kileleni mwa Bundesliga. Borussia Dortmund yaichapa Cologne 2-0 huku kocha mpya wa Wolfsburg Florian Kohlfeldt akipata ushindi mechi yake ya kwanza. Mnyama Simba ashindwa kunguruma mbele ya wagosi ya Kaya Coastal Union katika ligi kuu Tanzania Bara.

https://p.dw.com/p/42RCw