1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Baadhi ya masanduku ya kura yadaiwa kukutwa wazi Kilifi

11 Agosti 2022

Huko Kaunti ya Kilifi, kaskazini mwa pwani ya Kenya, shughuli ya kuhesabu kura bado inaendelea japo kumeibuka ripoti kuwa masanduku ya kura za ugavana yaliwasilishwa katika kituo kikuu cha kujumuisha kura cha chuo kikuu cha Pwani yakiwa wazi. Babu Abdalla amezungumza na mwandishi wa habari kutoka kaunti hiyo Ancilla Masika.

https://p.dw.com/p/4FOpl