1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Awamu mpya ya Erdogan ina maana gani kwa Uturuki na kimataifa?

Daniel Gakuba31 Mei 2023

Wale waliokuwa na matumaini kwamba uchaguzi uliomalizika nchini Uturuki ungeleta mabadiliko wamekata tamaa baada ya matokeo ya duru ya pili ya uchaguzi kumrejesha madarakani Recep Tayyip Erdogan. Pamoja na changamoto za ndani anazotakiwa kuzitatua, je ushindi huo unamaanisha nini kwa upinzani na unawezaje kuathiri mahusiano baina ya Uturuki na nchi za magharibi. Sikiliza Mwangaza wa Ulaya.

https://p.dw.com/p/4S1Mg