1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Athari za vipigo mashuleni Visiwani Zanzibar.

15 Juni 2017

Baadhi ya tafiti zinaonyesha kwamba matumizi ya fimbo kama adhabu mashuleni ina athari kubwa kwa maendeleo ya watoto mashuleni. Unakubaliana na tafiti hizo? Sikiliza makala haya ya Mbiu ya mnyonge usikie athari za matumizi ya fimbo mashuleni huko Visiwani Zanzibar.

https://p.dw.com/p/2ekHr