1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga: Athari za mradi wa SGR kwa watu wa Mombasa

3 Juni 2024

Kwenye mazungumzo haya na Mohammed Khelef, mtafiti Kadara Swaleh kutoka nchini Kenya anachambuwa athari za mradi wa reli ya SGR inayounganisha mji wa pwani wa Mombasa na sehemu nyengine za Kenya kwa wakaazi wa mji huo.

https://p.dw.com/p/4gaVP