1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Athari za kusitisha shughuli za kaunti Kenya ni zipi?

Babu Abdalla17 Septemba 2020

Baraza la magavana nchini Kenya limetangaza kusitishwa kwa shughuli za kaunti, na kuwaagiza wafanyakazi wa kaunti kwenda likizo ya lazima ya wiki mbili. Je uamauzi huo una athari gani hasa kwa mwananchi wa kawaida? Sikiliza uchambuzi wake Brian Mutie kutoka Kenya.

https://p.dw.com/p/3idJj