1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Athari za COVID-19 kwa raia wa DRC kwenye eneo la Matonge nchini Ubelgiji

Saleh Mwanamilongo4 Juni 2020

https://p.dw.com/p/3dF2S

Kutokana na mripuko wa virusi vya corona kwenye eneo la wilaya ya Matonge ,jijini Brussels nchini Ubelgiji tokea mwishoni mwa mwezi Februari kila kitu kilisimama kwenye eneo hilo. Ungana na Saleh Mwanamilongo katika makala ya Mwangaza wa Ulaya, akiangazia jinsi jamii ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo ilivyoathirika na janga hili la virusi vya corona.