Assoumani aapishwa rais mpya KomoroSudi Mnette27.05.201627 Mei 2016Kiongozi wa zamani wa mapinduzi katika visiwa vya Komoro, Azali Assoumani, ameingizwa rasmi kazini. Katika hotuba yake kwa taifa ameahidi kuleta mabadiliko. Mchambuzi Aboubakar Omar atoa tathmini yake.https://p.dw.com/p/1IvC1Matangazo[No title]To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio