1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Asilimia 98 ya wasichana wakeketwa Somalia

Lilian Charles Mtono/M M T6 Februari 2017

Dunia inaadhimisha siku ya kupambana na ukeketaji, wakati ambapo baadhi ya nchi hususan Barani Afrika bado zinaendeleza mila hiyo inayotajwa kukiuka haki za wasichana na watoto. Kulingana na Shirika la afya la Umoja wa Mataifa, kiasi ya wasichana Milioni 200 wamekwishafanyiwa ukeketaji duniani kote, huku Milioni 300 wakiwa katika hatari ya kufanyiwa kila mwaka.

https://p.dw.com/p/2X2kC