1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

App inayowasaidia waathiriwa wa ukeketaji Kenya

Josephine Tatu Karema/MMT26 Novemba 2019

Katika makala ya Sema Uvume leo utasikia kuhusu mfumo mpya wa mbinu ya usafiri wa magari na pikipiki zinazotumia mafuta ikilinganishwa na zinazotumia kawi safi ya mfumo wa umeme na baadaye pia utasikia jinsi kundi dogo la wasichana nchini Kenya lilivyobuni app ya kusaidia wahanga wa ukeketaji ama wanaokabiliwa na kitisho cha tamaduni hiyo potofu kupata usaidizi.

https://p.dw.com/p/3TlvV