1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Amnesty: Watu 1000 waliuawa kwenye utawala wa Jubilee

Shisia Wasilwa13 Julai 2022

Zaidi ya watu 1000 huenda waliuawa kwenye kipindi cha utawala wa serikali ya Jubilee nchini Kenya. Kwenye ripoti iliyotolewa na Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International, utawala huo wa Rais Uhuru Kenyatta umepewa asilimia 46 katika nyanja mbali mbali za uongozi wake ambao unakaribia miaka 10 sasa. Sikiliza ripoti ya Shisia Wasilwa kutoka Nairobi.

https://p.dw.com/p/4E42e