Aliyekuwa rais wa Burundi Domicien Ndayizeye ameonana na Hussein Rajabu gerezani
16 Septemba 2008Matangazo
Bw. Domicien Ndayizeye amekuwa kiongozi wa kwanza kabisa wa kisiasa nchini Burundi kwenda kumuona Hussein Rajabu anakozuiliwa katika gereza kuu la Mbimba mjini Bujumbura kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.
Ziara yake hiyo imezusha tafsiri tafauti miongoni mwa wananchi wa Burundi kama anavyoripoti hapa Hamida Issa kutoka Bujumbura.