SiasaAlfonso Dhlakama wa Msumbiji aaga duniaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaJohn Juma04.05.20184 Mei 2018Kiongozi wa zamani wa waasi na kiongozi wa upinzani wa muda mrefu nchini Msumbiji Alfonso Dhlakama ameaga dunia. Dhlakama amefariki akiwa na umri wa miaka 65 kutokana na kile vyombo vya habari nchini humo vimeripoti kuwa ni mshtuko wa moyo. https://p.dw.com/p/2xAQJMatangazo