1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afya Yako: Upangaji uzazi na afya ya uzazi

27 Oktoba 2022

Uzazi wa mpango ni sehemu muhimu ya kulinda afya ya jamii na kizazi kwa jumla.Imani potofu na mila ni baadhi ya vikwazo vya kupanga uzazi.Kadhalika mitazamo inatofautiana ukizingatia vijana na mahitaji ya bidhaa za uzazi wa mpango.Makala ya afya hii leo inajikita kwenye mbinu za uzazi wa mpango, changamoto na masuala ya kisasa yanayoibuka.

https://p.dw.com/p/4IkUf