1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afya Yako: Uhaba wa madini joto mwilini

Sylvia Mwehozi16 Februari 2018

Utafiti wa hivi karibuni wa masuala ya afya unaonyesha kuwa wanawake walio na ukosefu wa madini joto mwilini yaani "iodine" na ambao wanajaribu kubeba ujauzito wana nafasi ndogo ya kutunga ujauzito ukilinganisha na wanawake walio na kiwango kikubwa cha madini joto. Sylvia Mwehozi anafafanua zaidi katika makala ya Afya Yako.

https://p.dw.com/p/2sntb