1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afya Yako: Unafahamu Hydrocephelus?

Tatu Yahya27 Aprili 2023

Miaka kadhaa nyuma watoto waliozaliwa na vichwa vikubwa na mgongo wazi ilikuwa ni nadra kupata matibabu huku wakitengwa na watu wao wa karibu. Je ujio wa teknolojia umekua chachu kiasi gani kwa wataalamu kuleta tabasamu kwa wagonjwa hawa?

https://p.dw.com/p/4Qd5b