1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afya Yako: Makundi ya damu

14 Aprili 2022

Sikiliza kipindi cha Afya Yako kinacholenga kutoa elimu ya afya ili kukuwezesha wewe msikilizaji kupata uelewa wa maswala mbalimbali ili kuimarisha afya yako. Leo hii kinaangazia makundi mbalimbali ya damu na umuhimu wa kujua upo kundi gani.Mtayarishaji na msimulizi ni Neema Misheki.

https://p.dw.com/p/49xrk