1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afya Yako: Ganzi

20 Aprili 2023

Ganzi ni hisia ya kupoteza fahamu ama hisia katika sehemu moja ya mwili. Inaweza kutokea katika sehemu yoyote ya mwili, lakini huhisiwa zaidi mikononi na miguuni. Mara nyingi, hii hutokea wakati mtu amekaa vibaya, na katika hali mbaya kwa muda mrefu. Bila shaka ushawahi kupatwa na ganzi wakati mmoja maishani mwako. Basi msikilize Ruth Alonga akilijadili hili katika makala ya Afya Yako.

https://p.dw.com/p/4QMBZ